Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr.
Liu Yaping akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi zawadi ya pambo la Ofisi wakati alipofika Ofisini kwa Balozi
Vuga Mjini Zanzibar na Timu yake ya Madaktari kuaga wakirejea nyumbani
kwa mapumziko ya mwezi mmoja kiusherehekea mwaka mpya wa Kichina.
Pembeni kushoto ni mtapta wao Bibi Liu Hualian

Dr. Liu Yaping kiongozi wa Madaktari wa
Kichina wanaotoa huduma za Afya Hospitali za Zanzibar kati kati akiwa
sambamba na Mtapta wao Bibi Liu Hualian wakiagana na Balozi Seif mara
baada ya mazungumzo yao wakiomba kurudi nyumbani kwa mapumziko ya mwaka
Mpya.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Madaktari bIngwa wa
Kichina wanaotoa huduma za Afya Zanzibar.
Aliyepeana
mkono yane ni Kiongozi wa Madaktari hao Dr. Liu Yaping, nyuma ya Balozi
Seif ni Dr. Xia Jun, kulia ya Dr. Liu Yaping ni Dr. Sun Kewen na Dr.
Huang Wenjie.
Picha na – OMPR – ZNZ.

إرسال تعليق