الصفحة الرئيسيةBungeni PAC Yafanya Mkutano Wenye Mafanikio Makubwa na CAG, Prof. Mussa Assad Leo Hisia يناير 13, 2015 0 PAC imefanya mkutano wenye mafanikio makubwa na CAG Prof. Mussa Assad Leo. Ukaguzi wa misamaha ya kodi ndio ajenda kubwa ya uwajibikaji mwaka 2015 kati ya PAC na CAG. Post by Zitto Kabwe.
إرسال تعليق