Penzi lilipo baina ya Dj
wa msanii Diamond Platnumz, Romeo Jones na Tuerny ambaye anafanana sana
na Wema Sepetu ni la wazi sana na imefikia hatua hata wao wenyewe
kuachia picha zao wakiwa sehemu za faraga na hata zile za screen saver
kama alichofanya Romeo kuweka picha ya mpenzi wake na kupost kwenye
social networker.
Picha yao iliyovuja wakiwa chumbani iko hapa chini
Wengi
wamekuwa hawamfamu Tuerny lakini historia fupi ni kwamba miaka ya nyuma
alikuwa mpenzi wa Romeo lakini alimwacha na kwenda kuolewa marekani ila
haikuisha mwezi akaachika na kurudi bongo na alivyorudi bongo
wakarudiana na mpenzi wake wa zamani Romeo jones na ushahidi wa video
iko youtube iko hapa chini na kama kifaa chako hakina uwezo

إرسال تعليق