Rais Kikwete akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Jaji Augustino Ramadhani wakati jaji huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es  Salaam leo(picha na Freddy Maro)
unnamedju2 

Post a Comment

أحدث أقدم