Rais Kikwete amjulia hali Brigedia Jenerali Hashim Mbita Hospitali ya Lugalo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro)
 unnamed1N 

Post a Comment

أحدث أقدم