Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa
ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji
Mhe. Filipe Nyusi mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu za uongozi
kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake.
(Picha na Freddy Maro)
إرسال تعليق