Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemv,
akivaa moja ya kofia alizo kabidhi
kwa msaada katika kituo cha watu
wenye albinizim (UNDER THE SAME SUN)
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu
(kushoto) , akimkumbatia kwa furaha
Mariam Staford , mara alipo tembelea
kituo hicho, ambapo Mariam alikatwa
mikono yake yote miwili akitokea kijiji
cha Ntobeye Wilayani Ngara Kagera.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under
The Sun Tanzania Vicky
Ntetema (kulia) , akifafanua jambo
wakati Mwenyekiti huyo alipo tembelea
kituo hicho
Afisa utetezi Kondo Seif
(wakwanza kushoto) akitolea
malezo ukosefu wa rangi asili mwilini
ambayo huathiri rangi ya mwili kwa
maana ya ngozi ,macho na nywele na
kukosekana kwa melani mwilini,
miongoni mwa athari zake ni wepesi wa
kuungua na Jua unapotembea juani na
ufanyapo kazi juani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika
la Under The Sun Tanzania
Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu
(kushoto) Picha ya mtoto
alie tekwa akiwa mgongoni mwa mama yake
wapili .kushoto ni Mama
mzazi wa Sitti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under
The Sun Tanzania Vicky
Ntetema (kulia) akimuonyesha
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu
(kushoto) Picha ya Wazazi walio
zaa mtoto mwenye albinizim ambao
kwa pamoja wameamua kumlinda na kumlea
kwa pamoja . kushoto ni Mama wa
Sitti.
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvuakimvisha
kofia Mariam Staford.
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu,
akiangalia picha .
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu
akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Under The Sun
Tanzania Vicky Ntetema (kulia)
akimkabidhi Kofia na kitita cha
Sh. Laki 3 .
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu, katika
pocha ya pamoja
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu (wa tatu
kulia) akimkabidhi vifaa vya kuhifadhia
taka Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa
zungu (kushoto), kwa ajili ya Hospitali
ya Mkoa wa Ilala Dar es Salam.
kuanzia kushoto nyuma ya mbunge
ni Diwani wa kata ya Kinyerezi kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Leah Mgitu
katikati ni mama mzazi wa Sitt Mariam
Mtemvu, wa kwanza kulia ni Diwani wa
Kata ya Ilala kupitia Chama cha
Mapinduzi Edson Fungo na anae
fatia ni Daktari Kiongozi wa
Hospitali ya Mkoa Ilala
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa zungu
akiongea na Waandishi wa Habari (
pichani hawapo) mara baada ya
kupokea vifaa mbalimbali
vya kuhifadhia taka na Sabuni.
Mama mzazi wa Mtoto akiwa
amelazwa katika Hospitali hiyo na
mwanae Hassan Idd (3) akipokea Sabuni
Toka kwa Mwenyekiti wa Sitti Tanzania
Faundation, Sitti Mtemvu alipo tembelea
Hospitalini hapo.
Amina Rashidi akiwa amelazwa katika
Hospitali hiyo na mwanae Warda Abasi
(9) akipokea Sabuni Toka kwa Mwenyekiti
wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti
Mtemvu alipo tembelea Hospitalini hapo.
إرسال تعليق