MSANII wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amejikuta akimuonea wivu
msanii mwenzike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kutokana na kuwa chini ya
uangalizi wa meneja na kulipwa pato kubwa kwenye filamu.Msanii wa filamu
Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’.

Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na ishu ya msanii huyo ambaye ni mdogo zaidi yake, kufikia hatua ya kulipwa shilingi milioni kumi na tano kwa filamu moja, ni mafanikio makubwa ambaye anayatamani sana.
“Yani hao wanaompinga Lulu wanamuonea wivu tu, naamini analipwa hiyo fedha sababu yupo chini ya usimamizi wa kampuni kubwa ya Proin Promosheni, natamani na mimi ningekuwa na meneja wangu ningenufaika zaidi kama yeye,” alisema Davina

إرسال تعليق