MSANII wa filamu anayechipukia Bongo, Ester Kiama, amefunguka kuwa
ukaribu wake na mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni kwa sababu ana
‘project’ ya kazi anafanya na staa huyo.Msanii wa filamu anayechipukia
Bongo, Ester Kiama akipozi.
Akizungumza na mwandishi wetu, Ester alisema ameshangaa kusikia watu
wakieneza habari kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na Dude wakati amemfuata
msanii huyo mkubwa ili amsaidie akue.
“Jamani hakuna mapenzi zaidi ya ka-project ka kazi ambako ananisaidia mimi ili niweze kukua kisanaa, kikubwa nahitaji sapoti ya kisanaa,” alisema Ester
“Jamani hakuna mapenzi zaidi ya ka-project ka kazi ambako ananisaidia mimi ili niweze kukua kisanaa, kikubwa nahitaji sapoti ya kisanaa,” alisema Ester
إرسال تعليق