Mwendesha bodaboda
akiendelea kuteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wananchi wenye
hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam, juzi jioni
ambapo alidaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia.
Wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es
Salaam, juzi jioni walimchoma moto mwendesha bodaboda aliyekuwa
amempakiza mwenzake ambao wanadaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu
kukimbia.
Wawili hao wakiwa kwenye harakati kukimbia wananchi hao waliwazingira
ambapo aliyepakizwa aliruka na kufanikiwa kukimbia lakini aliyekuwa
akiendesha alidhibitiwa na kupewa kipondo kikali na kuchomwa moto na
bodaboda yake.
Post a Comment