Mhe.
Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Naibu
Msajili wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora, Mhe. Simba alipowasili MKOANI
Tabora kwa ajili ya ziara ya kutembelea Mahakama mkoani humo.
Mhe.
Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Bi. Suzan Kaganda alipowasili mapema mkoani
Tabora kwa ajili ya ziara.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama mkoani Tabora wakisubiri kumpokea Mhe. Jaji Mkuu .
Mhe.
Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akipata Maelezo mafupi
kutoka kwa Mhe. Amir Mruma, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu (aliyesimama)
Kanda ya Tabora alipowasili katika jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Tabora
kuanza rasmi ziara yake ya kikazi. Wengine walioketi ni Waheshimiwa
Majaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora. (Picha na Mary Gwera, Mahakama).
إرسال تعليق