Baada ya diamond the platnumz kupost picha na kuwaambia mashabiki
wamchagulie kama anataka mtoto wa kiume au wa kike, katika mtandao wa
kijamii wa instagram ilioneka moja wa shabiki wa Wema huko insta
analotumia jina la wemaselfie hakukubaliana na kitendo hicho na
kuyaandika maneno ya fuatayo:
'Yani sijawahi kuona.. mtuu anae pend attention kama blaza domo... dah... sumtz na wish wa tanzania wampoteze...! Juzi kati ulipo post hile pic ya Utrasound... "i cnt wait to meet u chibu junior" jana unapost... pic ya watoto wa 2 " which baby r u wishin us to have?

Post a Comment