TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA JANA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akijibu maswali ya wabunge bungeni Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akijibu swali la mbunge Bungeni Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleoa ya Makazi Angellah Kairuki, akijibu swali la mbunge Bungeni.
Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Capt. Mstaafu John Chiligati akiwasilsha taarifa ya kamati yake.
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Selemani Jafo akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Luhaga Mpina, akiwasilisha taarifa ya kamati yake.
Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia (mstari wa mbele aliyesimama), akiomba mwongozo kwa Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu.
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, akifafanua jambo kuhusu mwongozo wa mbunge Mbatia.
Baadhi ya wageni wa Spika waliohudhuria Bunge, wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu(wa kwanza mstari wa chini).Kulia kwake ni Kamishna wa Jeshi la Magereza (CGP) John Casmir Minja.
Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Capt. Mstaafu John Chiligati (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe huku mbunge wa Bariad Magharibi Andrew Chenge akitabasamu nje ya ukumbi wa Bunge.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya, akibadilshana mawazo na Naibu Waziri wake Adam Malima nje ya ukiumbi wa Bunge mjini Dodoma.Pembeni yao ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene.
Kamishna wa Jeshi la Magereza (CGP) John Casmir Minja, akisalimiana na Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage baada ya Bunge kuahirishwa majira ya asubuhi. Kulia ni Mbunge wa Babati Vijijini Jitu Soni.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (kulia) Mathias Chikawe akiwaongoza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu na Mkuu wa Jeshi la Magereza (CGP) John Casmir Minja kushuka ngazi za Bunge.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Juma Nkamia, akijibu maswali Bungeni.
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akijibu swali la Mbunge la Mbunge wa Rombo Joseph Selasini.
Naibu Waziri wa Elimu,Anne Kilango akichangia bungeni
Mbunge la Mbunge wa Rombo Joseph Selasini, akiuliza swali.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri Lediana Mng’ong’o akiongoza Bunge.
Mwenyekiti Mpya wa Bunge la Jamhuri Kidawa Hamidi Saleh

Post a Comment

أحدث أقدم