Baadhi
ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi mkoani
Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za usajili T 850
CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo limepinduka
jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa
hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka |
إرسال تعليق