MARTIN AGEUKA MLEZI MIMBA YA AUNT

MWANAMITINDO na meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda, amenaswa akiwa bize kumhudumia, mwigizaji Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.
Tukio hilo lilipigwa chabo live na mwanahabari wetu juzikati ambapo Martin alionekana akimchukulia baadhi ya mahitaji muhimu ambayo Aunt alikuwa akiyahitaji kwa wakati huo walipokuwa nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama jijini Dar.
Kama hiyo haitoshi, Kadinda alionekana akilishikashika tumbo la Aunt huku akimtania mara kwa mara.
“Huyu akizaliwa wa kiume itabidi umuite Martin kutokana na ninavyokudekeza hapa,” alisikika Kadinda

Post a Comment

أحدث أقدم