MSANII wa filamu Bongo, Mary Mawigi.
MSANII wa filamu Bongo, Mary Mawigi imebainika kuwa amenasa ujauzito
ambao tayari una umri wa miezi minne.Chanzo makini kilipenyeza kuwa
ujauzito huo ni wa mchezaji mmoja wa soko Bongo (jina kapuni) lakini
alipotafutwa mwigizaji huyo aliruka viunzi.
“Ni
kweli nina mimba na ina miezi minne lakini siyo ya huyo mchezaji
mnayenitajia na watu wanavyosema, baba mtoto yupo lakini siwezi kumuweka
wazi kwa sasa, nimeamua kuzaa kwa sababu maisha yanaenda mbele hayarudi
nyuma,” alisema Mary
إرسال تعليق