RAIS AONGOZA MAMIA KUMWAGA KOMBA KARIMJEE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma  wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga
Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni
Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani
Ruvuma.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji
mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo(picha na Freddy Maro

Post a Comment

Previous Post Next Post