Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi
ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge
mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega katika ukumbi wa Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Baadhi
ya wabunge wa EALA wakimsikiliza Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati
alipokuwa akilihutubia bunge hilo mjini Bujumbura Burindi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo
إرسال تعليق