UZINDUZI WA ISHI KISTAA ULIVYONOGA ESCAPE ONE JIJINI‏

 
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa akiteta jambo na msaani wa bogofleva Linah Sanga  wakati  wa uzinduzi wa  promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi  ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa  maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.Katikati ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
 
Meneja wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail  Ambweni (kushoto),Ofisa Mawasiliano wa kampuni hiyo Glory Mtui wakiwa katika pozi la picha na msanii wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga wakati  wa uzinduzi wa  promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa ushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi  ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa  maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
 
MC  wa uzinduzi wa  promosheni ya Ishi Kistaa VJ Penny akiteta jambo na Ofisa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui   wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi  ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa  maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
 
Msanii mahiri wa bongp feva Barnabas akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Shamsa Hamud(kushoto)na Glory Mtui  wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na Vodacom kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi  ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa  maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
 
Ofisa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Glory Mtui   akicheza muziki na msanii wa bongo fleva Barnabas wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa ushirikiano wa Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi  ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa  maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.
 
Mwanamuziki wa kizazi kipya Izzo Business akisalimiana na Ofisa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania  Glory Mtui  wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi  ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa  maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna mshindi mmoja anapatikana.

Post a Comment

أحدث أقدم