Mwanamke mmoja mwenye umbo la miraba minne ambaye unaweza
kumuita Bonge baada ya jina lake kutopatikana mara moja, wikiendi
iliyopita alifikwa na msala mkubwa alipo bambwa na sungusungu akifanya
mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.
Chanzo chetu kilidai kuwa Bonge huyo alikuwa na wenzake wakitoka
kwenye kicheni party, walipofika maeneo ya Sinza-Afrika Sana jijini Dar,
aliwachenga wenzake na baada ya kumpata dereva huyo ambaye aliahidi
kumpa kiasi f’lani cha fedha ili ‘wakalicheze segere’ usiku mnene.
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.
Chanzo hicho kiliiambia Timu ya Fichua Maovu (OFM) ya Global
Publishers kuwa baada ya makubaliano, walizama kwenye teksi na kwenda
kujificha kwenye kichaka kilichopo mita chache kutoka Kituo cha Polisi
cha Kijitonyama ‘Mabatini’.
Wakiwa katikati ya mchezo, jirani mmoja alisikia miguno ya kimahaba
hivyo alipenyua pazia la dirisha lake na kuwashuhudia laivu kitendo
ambacho kilimkera ambapo alitoka nje na kwenda kuwaita sungusungu ambao
waliungana na OFM na kuwatimua wawili hao huku bonge akitimka mbio na
kuacha nguo yake ya ndani na kadi ya mwaliko wa kitchen party.
إرسال تعليق