CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi ( Kijambazi)

Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa  kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao.
 
Zifuatazo ni picha za vifaa   vya  kijambazi  vilivyonaswa  na  jeshi  la  polisi.

Chanzo: Jamii Forums

Post a Comment

Previous Post Next Post