Baada
ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya
siasa kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi
agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika
chama chao.
Zifuatazo ni picha za vifaa vya kijambazi vilivyonaswa na jeshi la polisi.
Chanzo: Jamii Forums
إرسال تعليق