Wasanii Ney wa Mitego (kushoto) na Diamond Platinumz (kulia
Na Andrew Chale wa Modewji Blog
Kwa
muda mrefu sasa huenda nawe umepata kushuhudia baadhi ya mastaa wa
Bongo pamoja na watu maalufu wakiwa kwenye kurasa mbalimbaali za
magazeti na majarida, mitandao ya kijamii na mabagno ya matangazoa
wakiwa katika muonekano tofauti hasa katika kuonesha miili yao
kiuhalisia.
Mastaa
hao pia tunawashuhudia kwenye video zao iwe filamu, muziki na
matangazo, wakionyesha sehemu za maumbilie yao kama kifua, tumbo,
mgongo, kiuno na hata miguu kwa baadhi yao wakiwemo wa kike.
Msanii Juma Jux
Jux na VeeMoney
Sababu
kadhaa za kiuchambuzi ambazo Modewji blog, imezibaini licha ya kuwa
wengi wao wanalalamikiwa kwenda kinyume na maadili ya Mtanzania ama
mwafrika, Kwa sas Tanzania imeendelea kupiga hatua kwa upande huu kwa
namna moja ama nyingine, kwani ongezeko la majarida ya kijamii ambayo
yanaandika watu maalufu na mastaa pamoja na majarida ya kibiashara,
yamekuwa chachu ya kuendelea kushuhudia kinachoelezewa hapa.
Msanii Ali Kiba
Mbali
na hilo la kupamba majarida (Magazine) pia baadhi ya mastaa wengine ni
hulka yao kuwa na tabia ya kuonyesha maumbile yao kwani wapo
wanaojisikia vizuri na pia ni ‘life style’ yao pasipo kuingiliwa na mtu
yoyote.
Msanii Lulu Michael ‘Lulu’
Kingine
pia ni wengi wa mastaa hao ni watu wa mazoezi hivyo wamekuwa wakitumia
miili yaao hiyo kama mvuto hasa kwa muonekano wa vifua vyao kuwa na ‘six
pack’ na vitu vingine ambavyo ni kivutio kwa mwili kwa mwanaume.
Pia
uchunguzi huo umewabaini wengi wa mastaa hao wamekuwa wakijiachia
sehemu ya miili yao kama sehemu ya kivutio kwa ‘fans’ zao hasa kwa
baadhi ya mastaa wa kike na kiume.
Msanii wa filamu na aliyewahi kuwa Miss
Nyuma ya pazia!
Kila
jambo na wakati wake, hili limeweza kubainika kiukweli kuwa, nyumam ya
pazia wasanii wengi wanakuwa na wakati mgumu sana kwani inapofika wakati
wa wao kuwa na maandalizi ya kupiga picha za kawaida ‘photo shoot’ au
za video’video shooting’ Madairecta uwapendekeza wasanii hao wawe
katika hali ya mvuto kwa wasanii wa kiume au wa kike wawe hivyo hivyo na
mvuto ama mahaba lakini kwa hali hii
wasanii
‘vimbau mbau’ ama wale wenye afya ndogo huwa wanaichukia sana kipengele
hichi kwani baadhi yao ukifuta ama wengine wanashahuriwa waanze ‘gym’
ya lazima ili mrdi tu wawe fiti.
Msanii Diamond Platinumz
Modewji
blog kwa hapa tunakuwekea baadhi ya picha za mastaa wachache kati ya
wengi ambao kutokana na mvuto wa miili yao ikiwemo kupangika hali
inayopelekea mara nyingi picha zao kutumika kwenye promo, kwenye
mitandao ya kijamii na mabango makubwa ikiwemo ya kuvutia watu katika
saluni mbalimbali na kwingineko.
Mastaa hao ni pamoja na wasanii, wa filamu, muziki, models, na wengineo.
Angalia pichani:
Hamisa Mabeto ‘msanii na modolz.
Agnes Gerald Masogange ‘Video Queen’
Msanii Ney wa Mitego
Msanii Rich Mavoko
Hata
hivyo, Modewji imebaini kuwa, wasanii hao wengi wanakosa fursa za
kujiingizia pesa kwa kutumia muonekano wa miili yao hiyo hasa kwa
kuingia mikataba na makampuni kwa lengo la kutangaza bidhaa.
Baadhi ya bidhaa hizo ni pamoja na mavazi ya ndani ikiwemo ‘boxer’, bukta, chupi’, sidilia’, pedo, skin taiti na mengineo mengi.
Msomaji wa Mtandao huu wa Modewji blog, endelea kuperuzi nasi muda wote tutaendelea kukuletea habari siku zote, asante.
Kama una habari, picha za matukio unaweza kututumia kupitia email na namba zilizopo hapo juu kulia ama kupitia 0719076376.
إرسال تعليق