Diamond’s ex-lover, Wema Sepetu, posted a long
letter revealing the things she has gone through just because she is barren.
Here is it;
Ningekuwa
na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana… But sina… Na siwezi
kumkufuru mwenyezi mungu. Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika
usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe… Is dat wat u want.? kila
ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze…
Au
mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto… Kumbukeni na mimi pia ni
binaadam… Nina moyo kama nyie… Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto
au wana ujauzito alafumimi sina hata wa kusingiziwa… Mnaona nafurahia sio….
Hivi mna nini jamani… Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus
come fromnowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu
unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu…
Kwani
kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito
namna hio… Kisa mtoto… Mnadhani naipenda hii hali… Hata mimi natamani kuitwa
mama na hakuna kinachoniuma kama hicho…. So mnadhani sijui kama umri unaenda na
maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die…
Mnafikiria
nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua… Hata
mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu… I want dat with all my
life but I cant…. Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni
kitu gani kaniandikia… But just dont rub it in… It hurts… And im just a human
being like each and everyone of u….
إرسال تعليق