Hot:- Aunty Ezekiel Naye Yamkuta, Aombewa Kifo Yeye Na Kiumbe Kijacho, Aongea/Aandika Mazito YaMoyoni - Soma Hapa
Hisia0
Ukiacha
yote ktk Maisha naamini Duniani tunapita na kila mmoja wetu yupo ktk
safari ugumu ni kutangulia na Mwenyezi Mungu si wa kwako wala wakwang
na ndio mana kila mmoja anatimiziwa haja zake kwa nafasi yake Nataka
nikwambie tuu ww kaka uliyeandika maneno hayo kwang leo kuwa ww ni wa
Mwenyezi Mungu pia dua lako linawezekana kusikilizwa na likasikilizwa
haraka couse wala haupo peke yako ila ww ndie pekee uliepata ujasiri wa
kuandika wengine watakuwa wanaomba kwa chini ila wote tumuombae hayo ni
huyo huyo mmoja hvyo bac tumuachie yy Inshaalah ndio anajua mwisho wa
kila mmoja wetu.Furaha ni ya zamu utakapokuwa unafurahia Umauti wang
Familia yang itakuwa ikilia kwa hilo na ifikapo kwako ww unaeniombea
hilo kila kukicha ni hvyohvyo pia kwa familia yako.Hvyo nina Aman
yakutosha tu kwakuwa mm ni wakwake pia Sikujiumba.WHN JESUS SAY YES NO
BD CAN SAY NO....👏👏👏 love u all.....
Post a Comment