Polisi wakichukua mabaki ya miili ya marehemu hao baada ya kuchomwa moto.
Wakiteketea kwa moto
Watuhumiwa hao wakiwa hoi kwa kipigo kabla ya kuchomwa moto hadi kufa.
Wakiendelea kupokea kichapo kutoka kwa wananchi.
Wananchi
walioamua kujichukulia sheria mkononi, wamewaua watu wawili
wanaodhaniwa kuwa ni wezi kwa kuwachoma moto mpaka kufa huko Mwika
wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro
Tukio
hilo limetokea jana majira ya saa 6 mchana ambapo pia wameichoma moto
pikipiki waliyokuwa wakiitumia watuhumiwa hao (ambao wamechomwa moto
hadi kufa)
Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka eneo la tukio bado hakuna mtu anayeshikiliwa kwa kuhusika na mauaji hayo
Post a Comment