Mwanamitindo wa Zanzibar Bi Matilda Ishungisa mwenye gauni la njano akiwa na wanamitindo wake walioonesha mitindo ya Nguo alizobuni wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake yaliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zenj.
Mwanamitindo wa Zanzibar Bi Matilda Ishungusa na mwezake wakiwa na pozi wakipita mbele ya Wanawake walioshiriki Siku ya Mwanamke yaliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Post a Comment