Mtangaza
 nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye 
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono 
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa 
Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia 
yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania.

 Mbunge
 wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania 
uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri 
Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, kumsikiliza  Mtangaza nia ya kuwania 
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni
 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).
 Mwenyekiti
 wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache 
kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa 
tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la 
Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri 
Abeid,jijini Arusha jioni ya leo.
 Mh. Lowassa akiwapungia wananchi.
 Mtangaza
 nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi 
(CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa 
akihutubia katika mkutano wa hadhawa wa kutangaza nia yake 
hiyo,  kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni
 ya leo.
Mh.
 Edward Lowassa akiteta jambo na Mkewe Mama Regina Lowassa wakati wa 
mkutano uliofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, 
jijini Arusha.
Mh. Edward Lowassa akipongezwa na baadhi ya Wabunge waliohudhulia mkutano huo, baada hotuba yake.
![]()  | 
| PICHA ZOTE NA MICHUZI | 

Post a Comment