Dk. Shein achukua fomu ya Kugombea Urais


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana alichukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kuteliuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar.
 
Dk.Shein alikabidhiwa fomu hizo katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Juni 18,2015.
 
Rais wa Zanzibar anaungana na wanasiasa wengine takribani 37 waliochukua fomu kutoka Tanzania Bara ambao  hivisasa  wapo katika  mchakato wa kutafuta wadhamini

No comments:

Post a Comment