Jibu alilolitoa Diamond kwa shabiki aliyemkasirisha kwa kukerwa na hizi picha alizopost !

Diamond
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Afrika Kusini kwa ziara ya kimuziki ambapo mapema wiki hii alisimamia Yamoto Band kwenye video yao ya kwanza kuitengeneza kimataifa kisha tuzo za MTV alikochaguliwa lakini pia amefanya kolabo na staa wa muziki kwenye nchi hiyo aitwae Donald.
Kwenye page yake ya twitter alikua akiRT na kupost picha akiwa kwenye vituo vya Radio za South Afrika akiwa na Donald katika kuipromote hiyo single yao mpya ambapo wakati akiwa anaendelea kupost hizo picha alitokea shabiki mmoja kwenye twitter akamuandikia >>> ‘Ushamba huo hata interview unarusha, kina ngosha washafanya hizo kibao tu, vitu vingine vya kawaida sana wewe
Baada ya hiyo Tweet Diamond alimjibu kama inavyosomeka hapa chini…. Diamond Twitter June 18 2015 baada ya shabiki kumkasirisha
D8 D9 D10

Post a Comment

Previous Post Next Post