Jina hili linalotikisa Afrika mashariki kwa sasa katika tathnia ya
mitindo haswa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE
AFRIKA juzi aliwaacha hoi mashabiki wa mitindo nchini Kenya kwa
kuonyesha uwezo mkubwa jukwaani licha ya kuwa kulikuwa na wanamitindo
wengine wengi kutoka nchi mbali mbali za Afrika, lakini kikubwa ni vile
kwanini aliamua kutumia nyimbo hizo tofauti na wengine?
JOCKTAN WA
MAKEKE alijibu hivi " Anha mimi nafanya mitindo ya migumu yaani mitindo
ya mu - afrika halisi sasa ni ngumu sana modelz wanapoingia jukwaani
kuingia na nyimbo za kimagharibi ambazo ndio zilitawala jukwaa basi
nikaenda kwa Dj moja kwa moja ili aweze kunitafutia wimbo wa sarif
keita- afrika na hii ndio ilionifanya nionekane bora kwani mahadhi ya
wimbo na kilichoonekana jukwaani vilienda sambamba kitu kilichonipa raha
sana, na pia ilipofika tym yangu kuwakilisha jukwaani niliingia na
wimbo wa Daimond kwan nilikuwa ugenini na Diamond ni international
artist na anakubalika kitendo hicho pia kiliwafurahisha mashabiki"
JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA AELEZA SABABU ZA KUTUMIA WIMBO WA DIAMOND NA SARIF KEITA KWENYE SLUM FASHION AFRIKA - KENYA
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT







Post a Comment