Hii
post ni maalum kwa ajili ya kuujua ukweli baada ya ajali ya Treni
iliyotokea kwenye tarafa ya Kikombo Dodoma ambapo mabehewa manne ya
Treni hii ya abiria kutoka bara kwenda Dar es salaam yaliacha njia.
Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema saa tatu na dakika 45 asubuhi, mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
Amesema chanzo cha ajali hakijafahamika ila ajali imetokea wakati treni ikiwa kwenye mwendo katika stesheni ya Kikombo kuelekea kusimama, injini na Mabehewa hayo yakiwa kwenye mwendo yalihama njia ambapo July 29 2015 zilifanyika jitihada za kufaulisha abiria katika mabehewa mengine pamoja na kuunga injini nyingine ili safari iendelee.

Post a Comment