CHIKAWE AANGUKIA PUA KURA ZA MAONI

Na.Ahmad Mmow, Nachingwea.
Jinamizi la kuangushwa katika chaguzi limeendelea kumuandama waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mathias Chikawe, kubwagwa kwenye kura za maoni za ubunge wa jimbo la Nachingwea kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Mathias Chikawe
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mathias Chikawe
Chikawe ambaye mwaka 2012 aliangushwa ndani ya chama hicho alipogombea ujumbe wa halmashauri kuu ya taifa kutoka wilaya ya Nachingwea. Mara hii ameangushwa tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni baada ya kuwa omba ridhaa wanachama hicho ili awe mgombea kwa awamu ya tatu.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo. katibu wa CCM wa wilaya ya Nachingwea, Leticia Mtimba, alimtangaza 

Post a Comment

Previous Post Next Post