Na.Ahmad Mmow, Nachingwea.
Jinamizi
la kuangushwa katika chaguzi limeendelea kumuandama waziri wa mambo ya
ndani ya nchi, Mathias Chikawe, kubwagwa kwenye kura za maoni za ubunge
wa jimbo la Nachingwea kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mathias Chikawe
Chikawe
ambaye mwaka 2012 aliangushwa ndani ya chama hicho alipogombea ujumbe
wa halmashauri kuu ya taifa kutoka wilaya ya Nachingwea. Mara hii
ameangushwa tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni baada ya kuwa
omba ridhaa wanachama hicho ili awe mgombea kwa awamu ya tatu.
Akitangaza
matokeo ya uchaguzi huo. katibu wa CCM wa wilaya ya Nachingwea, Leticia
Mtimba, alimtangaza
إرسال تعليق