Mtia
nia
ya urais kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa
akikabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi
hiyo
kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Prof. Mwesiga Baregu (kushoto)
kwenye
Makao Makuu ya chama hicho, Dar es Salaam jana. Kulia ni Naibu Katibu
Mkuu wa
CHADEM. Lowassa alikuwa ni kada wa siku nyingi wa Chama cha Mapinduzi na
alijiunga na Chadema hivi karibuni baada ya kuenguliwa na CCM katika
mbio za kuwania kuteuliwa kuwa mgombea Urais.
Post a Comment