Nelly Kamwelu awashangaa wanaosema kachujaMiss Universe 2011, Nelly Kamwelu.

Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu amewashangaa watu wanaodhani kukaa kwake kimya kachuja na kusema kuwa bado analipa na anavutia.

Akichezesha taya na Amani, Nelly alisema kuwa bado yupoyupo sana na kwa sasa anajishugulisha na mambo ya urembo ambapo anapata tenda za kuonesha mitindo katika nchi mbalimbali.

“Nipo vizuri sana sasa hivi tofauti na huko nyuma na wala sioneshi kuchuja kwa urembo wangu kwani kila siku nazidi kuvutia, nawashangaa sana hao wanaosema eti nimechuja,” alisema Nelly.

No comments:

Post a Comment