Baraza
la Wanawake Chadema- BAWACHA wanayo furaha kubwa kuwaalika wanawake
wapenda mabadiliko kwenye kongamano kubwa la hatma ya shida na
changamoto za Mwanamke katika jamii kwa zaidi ya miaka 54 ya Uhuru wa
Taifa hili, na kuangalia chachu ya Mabadiliko yatakayoleta Maendeleo ya
Wanawake na Taifa.
Ni alhamisi hii ya tarehe 01/10/2015 saa tatu asubuhi pale Ubungo plaza blue peal Hotel.
Mgeni rasmi ni mama Regina Lowasa! Wote mnakaribishwa kwani Chimbuko la maendeleo katika Taifa ni Wanawake!
Ukisikia Tangazo hili fikisha kwa wahusika wote!
Wanawake wote wa CHADEMA, CUF, NCCR, NLD, vikundi mbalimbali na Wanawake
wote msio wanasiasa mnakaribishwa pia mtapata fursa ya kuelezea
changamoto mbalimbali.
|
Post a Comment