Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za
Ulaya, Judith Sergentine (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya
Tanzania, Filiberto Cebregondi, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuwasili
nchini. Picha na OMR
|
Post a Comment