Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Boma, Mjini
Masasi Mkoani Mtwara, kulikifanyika Mkutano wake wa Kampeni za kuomba
ridhaa ya wananchi kugombea nafasi, uliofanyika leo Septemba 22, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, MASASI.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa
Masasi, Mkoani Mtwara, muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Boma, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Septemba 22, 2015.
Uwanja wa Boma mjini Masasi, palikuwa hapatishi pale Mgombea Urais alipowasili uwanjani hapo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mke wa Mwenyekiti wa
Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi (kulia), Mama Modesta Makaidi,
wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma, leo
Septemba 22, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Masasi,
Mkoani Mtwara, waliofikia kusikiliza sera zake katika Mkutano wa hadhara
wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Ambapo amewashukuru wananchi wa Mji wa Masasi kwa mapokezi makubwa
waliyompatia.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akizungumza machache na wananchi wa
Jimbo la Masasi Mjini, Mkoani Mtwara waliofurika kwa wingi kwenye
Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Chademaaaaaa.........
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea karatasi ya Shairi kutoka kwa
Msoma Mashairi, Mohamed Ally (kushoto) mara baada ya kughani Shairi
lake.
Mgombea
wa Ubunge anaekubalika na wananchi wa Masasi kupitia Mwamvuli wa Chama
cha Wananchi CUF, Ismail Makombe (Maarufu kwa Jina la Kundambada),
akizungumza machache na wananchi hao waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja
wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Mwenyekiti
Mwenza wa Ukawa kupitia Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi akiwa
ameambatana na Mkewe, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani
Mtwara leo Septemba 22, 2015.
Magambo yenye jumbe mbali mbali.
Sehemu
ya Wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara wakiwa katika Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Mmoja
wa Wazee wa Mji wa Masasi, akiendeleo kuchukua taswira kupitia simu
yake, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Umati
wa Wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara wakiwa katika Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
إرسال تعليق