Wananchi
wa mji wa Ngara na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya
posta mjini humo,huku wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM
Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba
ridhaa ya kuwa Rais na kuiongoza nchi ya Tanzania katika awamu ya
tano.Dkt Magufuli amekamilisha mikutano yake ya kampeni zake katika mkoa
wa Kagera wenye jumla ya majimbo 9 ya Uchaguzi.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili
kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera kuwa yuko fiti
kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika
uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe ukishangilia kwa mayowe,Dkt Magufulia alieleza kuwa kazi ya
kuwatumikia Watanzania siyo rahisi ni muhimu kuwa na afya njema ili
kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na yuko tayari kuwatumikia Watanzania kwa kufanya kazi usiku na
mchana.
Mgombea
Urais wa CCM
Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika viwanja vya
Posta,wilayani Ngara jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa
kampeni.Dkt Maguful kwa siku mbili mfululizo ameweza kukamilisha
mikutano yake kwenye Wilaya zote za Mkoa wa Kagera,ambapo kesho
anaelekea mkoani Geita kwa ajili ya kujinadi kwa wananchi wa mkoa huo
ili waweze kumpigia ya kuwa Rais wa awamu ya tano,katika uchaguzi mkuu
unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha
Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwafafanulia kwa umakini mkubwa
alipokuwa akiwahutubia
wananchi katika uwanja wa shule ya sekondari Rumanyika,wilayani Kyerwa
mapema leo mchana mkoani Kagera kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni.
Sehemu
ya umati wa watu ulikuwa umefika kwenye mkutano wa kampeni wa Dkt
Magufuli uliofanyika mapema leo mchana kwenye uwanja wa shule ya
sekondari Rumanyika,wilayani Kyera mkoani Kagera.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi katika uwanja wa shule ya sekondari Rumanyika,wilayani Kyerwa mapema leo mchana mkoani Kagera kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni.
Wakazi
wa Ngara na vitongoji vyale waliokusanyika kwenye viwanja vya Posta
mjini Ngara jioni ya leo wakishangilia jambo,wakati Mgombea Urais wa CCM
Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni.
Mgombea Urais wa
CCM
Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi katika viwanja vya Posta,wilayani Ngara jioni ya leo kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni.
Wananchi wa Ngara wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa kampeni
Mgombea Urais wa CCM
Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia
wananchi katika viwanja vya Posta,wilayani Ngara jioni ya leo kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika
viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini asubuhi hii kwenye mkutano wa hadhara
wa kampeni.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi
katika viwanja vya Mashujaa mjini Misenyi asubuhi hi kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni
wakazi
wa mji wa Misenyi katika viwanja vya mashujaa wakishangilia huku
wakiendelea kumsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,alipokuwa akijinadi kwa kumwaga sera zake na kuomba watanzania
wamchague kwa ridhaa yao ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa awamu ya Tano
إرسال تعليق