Mama Samia Suluhu Hassan Afunika Mkutano wa Kampeni Kibaha

 


WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alihutubia.


Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan  uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani


Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani 


WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan  alihutubia.


WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan  alihutubia.


Mmoja wa wasanii wa kugani mashairi akiwaburudisha wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan  alihutubia.


Mjumbe wa Kamati ya kampeni Taifa ya CCM, Mhe. Angela Kairuki, akizungumza kumnadi mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe.


Kikundi cha akinamama wajasiliamali na utamaduni kutoka Temeke kikitoa burudani kwa umati na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais,  katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe.


Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama  Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Subira Mgalu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.Vijana wakiburudisha umati wa wanaCCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.


Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan  (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe, Seleman Said Jafo (kushoto) na katikati ni mgombea udiwani, Mwishehe Mlao mkoani Pwani, 


Baadhi ya wagombea nafasi za udiwani CCM Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakitambulishwa katika mkutano wa kampeni. 


Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.


Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu (kulia) akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe 


Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan  akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe 


Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani.


Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.


Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu  uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani.


Msanii Snura (katikati) akitoa burudani kwa Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.


Msanii Snura (katikati) akitoa burudani kwa Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.


Msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu akizungumza na Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.


Chipukizi wa CCM wakitoa burudani katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani.


Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis (kulia) akizungumza jambo na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais Mama Samia Suluhu Hassan. 


Mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipokea kadi ya CHADEMA toka kwa Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu (kulia) mara baada ya kujiunga CCM.


Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis akimvalisha sare za CCM Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu mara baada ya kujiunga CCM leo.


Kada wa CHADEMA na Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu (katikati) akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM.


Raha ujipe mwenyewe bana..! Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis akijinasibu kwenye mkutano huo.


Kada wa CHADEMA na Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM.


Mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis (kulia) katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani.
Picha zote/www.thehabari.com

No comments:

Post a Comment