WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alihutubia. |
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani |
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani |
WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan alihutubia. |
WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan alihutubia. |
Kikundi cha akinamama wajasiliamali na utamaduni kutoka Temeke kikitoa burudani kwa umati na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe. |
Vijana wakiburudisha umati wa wanaCCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo. |
Baadhi ya wagombea nafasi za udiwani CCM Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakitambulishwa katika mkutano wa kampeni. |
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo. |
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu (kulia) akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe |
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe |
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani. |
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani. |
Msanii Snura (katikati) akitoa burudani kwa Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo. |
Msanii Snura (katikati) akitoa burudani kwa Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo. |
Msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu akizungumza na Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo. |
Chipukizi wa CCM wakitoa burudani katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani. |
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis (kulia) akizungumza jambo na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais Mama Samia Suluhu Hassan. |
Mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipokea kadi ya CHADEMA toka kwa Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu (kulia) mara baada ya kujiunga CCM. |
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis akimvalisha sare za CCM Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu mara baada ya kujiunga CCM leo. |
Raha ujipe mwenyewe bana..! Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis akijinasibu kwenye mkutano huo. |
Kada wa CHADEMA na Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM. |
إرسال تعليق