Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnaji Mgombea Ubunge wa Jimbo la
Chato, Dkt. Benedicto Lukanima, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya Zamani ya Chato, Wilayani Chato,
Mkoani Geita leo Septemba 16, 2015.
|
إرسال تعليق