Viongozi hao waliohamia CCM ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya
ya Kilosa Ndugu Selemani Simba, Katibu wa Chadema wilaya hiyo Ndugu
Ibrahim Abdallah Selemani, aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Kilosa Kati
Mussa Ngongo na aliyejitambulisha kama mwanachama kiherehere wa Chadema
Bi.Oliver Mollel.
Viongozi hao walitangaza kukihama chama cha Chadema kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni za CCM mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John
Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Kilosa town.
wee dogo siasa za nchi hii huzijui. wee umepata chako.huna madhara yeyote kwenye ukawa. lala mbele
ردحذفإرسال تعليق