Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina
Kombani amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu
Taarifa tulizozipata usiku huu zimesema kuwa Waziri Kombani ambaye pia
alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha
Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu
Mtandao huu unatoa pole kwa familia ya marehemu na taifa kwa ujumla kwa msiba huu.
VIA:http:www.mpekuzihuru.com

إرسال تعليق