Madiva wawili Beyonce na Nick Minaj wakiwa katika pozi kwenye
Tamasha la Tidal X 1020 lilofanyika jana katika jiji la New York,
Marekani .
Rapa Jay Z akifanya makamuzi katika tamasha hilo.
Beyonce akifanya makamuzi.
Jay Z akimuangalia mke wake Beyonce wakati akiongea na mashabiki wake stejini.

...Wakifanya yao stejini.

...Wakiondoka stejini wakiwa wanateta jambo.
Nick Minaj akifanya yake.
Beyonce akiwa katika pozi katika red carpet ya Tidal X .








إرسال تعليق