Producer na msanii kutoka Nigeria Tekno Miles anayefanya vizuri na wimbo
wake wa Duro amekanusha kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na video queen
kutoka Tanzania ‘Agnes Masogange’.
Tekno amongelea tetesi hizo nakusema ” I Never had sex with Agnes” .
Tekno anasema walikuwa marafiki zaidi instagram na walikutana Nigeria ila hawajawahi kuwa wapenzi,
Agnes aliweka picha akiwa kwenye kitanda cha Tekno na kuandika “Nimependa vitanda
throwback cjui nahii ni Photoshop”
throwback cjui nahii ni Photoshop”
Source ;Ala za Roho.


Post a Comment