| Kipande
cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lifti Valey jijini
Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta
sura mpya jijini hapa lakini kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa
kwa nyakati za usiku kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa
barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili
kuepuka ajali zisizo za lazima ...JAMIIMOJABLOG |
إرسال تعليق