Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46


Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46


Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini. Source:MillardAyo.com
Lowassa 3
Lowassa 1
Lowassa 3>> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo‘

Post a Comment

Previous Post Next Post