Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata
utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga
(kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata
utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka
Serikali ya China.

Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga akizungumzia umuhimu wa reli ya TAZARA kwa Tanzania na Zambia.








Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia
nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakiteremka kutoka kwenye moja ya
behewa jipya baada ya kusafiri nalo kwa dakika kumi kufanyia majaribio.

Baadhi ya wageni katika tukio hilo. (Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO)
Post a Comment